LOWASSA ASHIRII JUBILEE YA MIAKA 50 YA SEMINARI YA MTAKATIFU KALOLI LWAHANGA, HUKO NGARA


Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wapili kushoto), akiwa na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya kuzindua jiwe la msingi kuashiria maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50, Seminari ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Jumamosi Juni 6, 2015


Waziri  Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa, akisalimiana na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine Niwemuguzi, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Biharamulo Mkoani Kagera kwa ajili ya kusherekea Miaka 50 ya Seminari ya Katote


Lowassa, akiwasha kompyuta baada y kuzindua chumba cha mafunzo ya Kompyuta katikaKuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 Seminari ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara mkoani KageraJumamosi Juni 6, 2015. Kushoto ni  Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine Niwemuguzi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA