SITTA,MUHONGO NA KAMANI WACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS


 Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwa na fomu za kuomba kuwania urais kupitia CCM, mara baada kukabidhiwa Makao Makuu ya CCM Dodoma
 Waziri wa Ushirikiano wa wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akiwa na fomu za kuwani kugombea urais ndani ya CCM
Waziri wa UVUVI NA MAENDELEO YA MIFUGO, Titus Kamani akiwa na fomu za kuomba kuwania urais kupitia CCM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA