DK MAGUFULI AKABIDHIWA HATI YA URAIS TANZANIA

Rais Mteule wa Tanzania kutoka CCM,  Dk John Magufuli (katikati), akipokea hati ya ushindi ya urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia)  baada ya kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Sherehe ya kukabidhi hati kwa Dk. Magufuli na Makamu wa Rais Mteule, Samia Suluhu Hassan (kushoto) ilifanyika Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Rais Mteule wa Tanzania kutoka CCM,  Dk John Magufuli (katikati), akionesha hati ya ushindi ya urais aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia)  baada ya kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Sherehe ya kukabidhi hati kwa Dk. Magufuli na Makamu wa Rais Mteule, Samia Suluhu Hassan (kushoto) ilifanyika Dar es Salaam
Makamu wa Rais Mteule, Samia Suluhu Hassan (katikati), akikabidhiwa hati ya ushindi ya umakamu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia). Kushoto ni Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kutoka CCM,  Dk John Magufuli.
Makamu wa Rais Mteule, Samia Suluhu Hassan akionesha hati ya ushindi
Rais Mteule wa Tanzania kutoka CCM,  Dk. John Magufuli akimuonesha hati yake ya ushindi aliyekuwa Mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT -Wazalendo, Anna Mgh'wira baada ya kukabidhiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akimkumbatia kwa furaha Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli ambaye alikabidhiwa hati ya ushindi katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam
Rais Mteule wa Tanzania, Dk John Magufuli akipongezwa na Rais wa zamani wa Nigeria, Jonathan GoodLuck baada ya kukabidhiwa hati ya ushindi wa urais katika sherehe zilizofanyika, Dar es Salaam
Dk. Magufuli akiwapungia mkono wanananchi alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
Rais Kikwete akifurahi baada ya kumuona Dk Magufuli
Waliokuwa wagombea urais wa Tanzania wakiwa wamekaa eneo waliloandaliwa

JK akifurahia jambo na mke wa RFais Mteule, Janeth Magufuli
Baadhi ya mabalozi
Sehemu ya wageni waalikwa
Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva akitangaza mshindi wa urais wa Tanzania
Dk Magufuli akimuonesha hati ya ushindi Rais Kikwete

Rais Kikwete akifurahi baada ya kuoneshwa hati ya ushindi na Dk Magufuli
Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba akimpongeza Dk Magufuli
Dk Magufuli akipongezwa na mkewe, Janet
Wziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Dk Magufuli kwa ushindi
Dk Magufuli akipongezwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda huku Samia naye akipongezwa na Mama Salma Kikwete

Pius Msekwa akimpongeza Dk Magufuli huku Samia naye akipongezwa na Anne Makinda
Mshehereshaji Giveness Aswile akiwajibika






JK akiwa katika p[icha ya pamoja na Dk Magufuli na Samia Suluhu Hassan


Rais Jakaya Kikwete  akizungmza na mke wa Dk Magufuli, Janet Magufuli huku Dk Magufuli akizungumza na mke wa JK, Mama Salma Kikwete

Janeth Magufuli akipongezana na Mama Salma Kikwete


Dk Magufuli akipongezwa na Rais wa zamani wa Nigeria, Jonathan Goodluck

Baadhi ya viongozi waangalizi wa uchaguzi mkuu wakiwa pamoja na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Dk Magufuli akipongezwa na viongozi wa dini
Dk Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Dini nchini baada ya kupiga nao picha
Wanahabari wakiwa kazini
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi
CCM HUREEEEEE
Kinana akijadiliana jambo na JK
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Rais Mteule akihutubia katika hafla ya wananchi kushangilia ushindi wa urais CCM Lumumba, Dar es Salaam


Sehemu ya umati wa wafuasi wa CCM wakiwa katika sherehe za kushangilia ushindi wa urais CCM Lumumba Dar es Salaam
Spika wa Bunge la Muungano, Anne Makina akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania ya CCM, ambaye pia alikuwa Mratibu wa Kampeni za Dk Magufuli, Alhaji Abdallah Bulembo.
Dk Magufuli akihutubia katika mkutano uliofanyika CCM Lumumba, Dar es Salaam baada ya kutoka kukabidhiwa hati ya ushindi wa urais
Jamani hati yangu ya ushindi hii hapa
Dk Magufuli akionesha hati ya ushindi ya urais
Makamu wa Rais Mteule, Samia Suluhu Hassan akinoesha kwa wananchi hati ya ushindi
Dk Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akitoa maelekezo kwa wafanyakazi nchini kuacha uzembe na kuanza kufanya kazi kwa bidii na atakayezembea ataachishwa kazi.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana pamoja na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha kwa wananchi Rais Mteule wa Tanzania, Dk John Magufuli wakati wa mkutano uliofanyika Ofisi za CCM Lumumba,Dar es Salaam
JK akimpongeza Dk Magufuli
Sasa chukua kijiti uendeleze pale nilipoachia;JK akimuambia Dk Magufuli
Komredi Kinana  akijadiliana jambo na Nape Nnauye
Ni furaha iliyoje kwa Dk Magufuli walipokuwa wakitaniana na Rais JK
Wafuasi wa CCM wakishangilia kwa furaha walipokuwa wakimsikiliza Dk Magufuli

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA