TAMASHA KUOMBEA AMANI LAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR


Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa albamu hiyo.Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa filamu ya Bonny Mwaitege, iitwayo ‘Tunapendwa na Mungu’. Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Joshua Mlelwa akiimba kwa hisia kali. ….Akiendelea kuimba. Mwimbaji Bonny Mwaitege akikamua na wacheza shoo wake. …Shughuli ikiwa imepamba moto.

TAMASHA la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu, lilifanyika jana Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo lilihudhuriwa na wengi.

(Habari / Picha: Brighton Masalu / GPL)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA