HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.tv: Mwanafunzi wa darasa la pili wa shule ya msingi Kamnyonge B wialayani Musoma amefariki dunia kutokana na kusombwa na maji yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendela kunyesha mkoani Mara.https://youtu.be/7QdAunedhzI

SIMU.tv: Kamati ya ulinzi na usalama jijini Dar es Salaam imebaini makontena yalioyofichwa kwenye bandari kavu ya PMM iliopo Vingunguti yakiwa yamejaa sukari kiasi cha tani elfu mbili. https://youtu.be/LlQ6TpNxoOU
SIMU.tv: Serikali wilayani Babati imetoa siku tatu kwa kiwanda cha uzalishaji wa sukari kuiweka sukari iliokua imefichwa kwenye mifuko sahihi na kusambazwa. https://youtu.be/72g3SJsIbEI
SIMU.tv: Baraza la taifa la elimu ya ufundi NACTE limesisitiza Udahili wa pamoja kwa kutumia mfumo wa CIS ambao unahusisha vyuo vyote vya serikali na binafsi ili kuepusha udanganyifu. https://youtu.be/xeHGx1y1wC8
SIMU.tv: Wakazi wa kata ya Kibaigwa wilayani Kongwa wamenufaika na mradi wa maji uliofadhiliwa na kampuni ya bia ya Serengeti ambapo utawapunguzia adha ya kufuata maji umbali mrefu. https://youtu.be/TxbiJ9sQljM
SIMU.tv: Watu saba wa familia moja wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameuwa kwa kukatwakatwa mapanaga na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. https://youtu.be/dnsPgsfaITU
SIMU.tv: Zoezi la majaribio la mabasi yaendayo haraka limesogezwa hadi jumatatu ijayo ili kuwapa uzoefu wakutosha watumiaji wa mabasi hayo. https://youtu.be/ppazp5PoBCg
SIMU.tv: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ameondoka nchini kwenda Kampala nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni. https://youtu.be/o6PMeT145e4

SIMU.tv: Wafanyabiashara wakubwa katika soko la Kariakoo wamelazimika kufunga maduka yao kutokana na wafanyabiashara wadogo kutanda nje ya maduka hayo huku wakishinikiza kuendelea kufanya biashara maeneo hayo licha ya manispaa kutoa agizo la kuondoka maeneo hayo. https://youtu.be/UXCTzyDVvNg

SIMU.tv: Mkazi kutoka mtaa wa Mabatini mkoani Dodoma amekua akifanyabiashara ya kuuza panya wa kitoweo katika mji wa Iringa ambapo amekua akijipatia kipato. https://youtu.be/1oQpkHmNzQE

SIMU.tv: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imezindua duka la huduma kwa wateja katika kata ya Mabwepande ambapo ni juhudi za kampuni hiyo kusogeza huduma karibu na wateja wake. https://youtu.be/fqsM5LfdUFE

SIMU.tv: Ligi kuu ya Tanzania bara imeendelea leo wakati Simba ilipokaribishwa na timu ya Majimaji ya mjini Songea ambapo mchezo huo umeishia sare ya kutofungana. https://youtu.be/nX9L2fqLFw4

SIMU.tv: Bondia kutoka nchini Irani amewasili nchini kwa ajili ya pambano kati yake na bondia mtanzania Thomas Mashali. https://youtu.be/_t_gg9cIouA

SIMU.tv: Msanii wa mziki wa kizazi kipya maarufu kama Diamond Platinumz amewakaribisha wasanii wa kundi la Mafikizolo kutoka nchini Afrika Kusini ambao atashirikiana nao kutumbuiza kwenye tamasha la uzinduzi wa mtandao wa kasi zaidi kutoka Vodacom. https://youtu.be/ISWtY3Vdb58

SIMU.tv: Msanii wa kizazi kipya Shilole ametoa msaada kwa kambi ya kulelea wazee wasiojiweza kituo cha Bukumbi wilayani Misungwi kama njia ya kuwasaidia wazee hao. https://youtu.be/1-SPP6KdpK0
SIMU.tv: Uongozi wa klabu ya West Ham United upo mbioni kuwabaini mashabiki wake waliofanya vurugu wakati wa mchezo wake dhidi ya Manchester United ambapo itawafungia wote watakao bainika. https://youtu.be/Cg9sOmT4Q7g

SIMU.tv: Ikiwa ni miaka 35 tangu kifo cha nguli wa miondoko ya reggae duniani Bob Marley vyombo mbalimbali vya habari vimemuenzi kwa namna tofauti tofauti. https://youtu.be/fxIBRcgUSl4

SIMU.tv: Watu saba wa familia moja wameua kikatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo huko wilayani Sengerema mkoani Mwanza huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana; https://youtu.be/WTsBSijRftM

SIMU.tv: Siku chache baada ya serikali kuruhusu uingizwaji wa sukari nchini kutoka nje ya nchi, bei ya bidhaa hiyo imeanza kushuka katika manispaa ya Iringa; https://youtu.be/RBkfWUQILOI

SIMU.tv: Makasha zaidi ya 150 yakutwa katika Bandari kavu ya PPM iliyoko maeneo ya Vingunguti jijini Dar es salaam huku umiliki wake ukileta utata; https://youtu.be/uMn_-rudor0

SIMU.tv: Rais Dkt John Magufuli amekwea ndege kuelekea nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mteule wan chi hiyo Mh Yoweri Kaguta Museveni; https://youtu.be/JmueOcr_338

SIMU.tv: Serikali imesema leo bungeni mjini Dodoma kuwa itaimarisha miundombinu katika vyuo vya afya nchini ili kukidhi malengo ya utoaji huduma kwa sekta hiyo; https://youtu.be/aMhI938fEfU

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela asitisha ufanyaji kazi kwa vivuko vya Kamanga baada ya kukaidi zuio la kusitisha huduma zake kwa kutokidhi vigezo vya usafiri; https://youtu.be/PxpZ9lbJ45k

Utafiti uliofanywa na kutolewa ripoti na benki ya Dunia, Tanzania ni miongoni mwa nchi 122 duniani zinazoendesha shughuli zake za kibiashara kwa njia za kisasa na kuvutia zaidi uwekezaji; https://youtu.be/EMWpPcACpmA   

SIMU.tv: Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu na Taasisi ya Benjamini Mkapa watiliana sahihi ya utekelezaji mradi wa huduma za afya kwa maam na mtoto; https://youtu.be/LMSUnZQheIs   

SIMU.tv: Kampuni ya bia ya SBL yakabidhi kisima kwa wananchi wa kijiji cha Kibaigwa wailayani Kongwa mkoani Dodoma;https://youtu.be/iTAagAKxTCc

SIMU.tv: Mkutano wa wakulima wafugaji na wajasiliamali kufanyika jijini daresalaam jumamosi hii ili kujadili masuala ya bima na mikopo kwa wakulima wafugaji na wajasiliamali; https://youtu.be/xFaTQs4NEY4
  
SIMU.tv: Mgahawa wa kisasa wa Pizza Hut wazinduliwa rasmi jijini Dar es salaam na kusaidia kutoa ajira kwa mamia ya watanzania; https://youtu.be/lkD2MveQdIc  

SIMU.tv: Timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es salaam na Majimaji ya mjini Songea zimetoka sare ya kutokufungana magaoli katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara; https://youtu.be/9rrgEoR4xUI  

SIMU.tv: Mpinzani wa bondia Thomas Mashali kutoka nchini Iran tayari ameshawasili nchini kumenyana tarehe 14 May mwaka huu; https://youtu.be/zDhK_1aTmWo

SIMU.tv: Shirikisho la michezo ya jadi nchini lakabidhi rasimu ya katiba yake kwa baraza la michezo nchini BMT;https://youtu.be/ZRfR5LEdcmc   

SIMU.tv: Timu ya taifa ya kriketi yakwea pipa kuelekea Uingereza kucheza michezo ya kirafiki ili kujiandaa na mashindano ya kimataifa yajayo; https://youtu.be/Cc9375q2q20

SIMU.tv: Bodi ya filamu nchini imeifungia filamu mpya ya Imebuma kwa kudhalilisha wanaume na kukiuka maadili ya kitanzania; https://youtu.be/Z__4FQS9fKE

SIMU.tv: Timu ya soka ya Westham ya nchini Uingereza imesema itawafungia mashabiki wake waliohusika na ghasia za kushambulia basi la Timu ya Manchester United hapo jana; https://youtu.be/Jxc2l4FNptw

SIMU.tv: Mwanafunzi wa darasa la pili wa shule ya msingi Kamnyonge B wialayani Musoma amefariki dunia kutokana na kusombwa na maji yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendela kunyesha mkoani Mara.https://youtu.be/7QdAunedhzI

SIMU.tv: Kamati ya ulinzi na usalama jijini Dar es Salaam imebaini makontena yalioyofichwa kwenye bandari kavu ya PMM iliopo Vingunguti yakiwa yamejaa sukari kiasi cha tani elfu mbili. https://youtu.be/LlQ6TpNxoOU

SIMU.tv: Serikali wilayani Babati imetoa siku tatu kwa kiwanda cha uzalishaji wa sukari kuiweka sukari iliokua imefichwa kwenye mifuko sahihi na kusambazwa. https://youtu.be/72g3SJsIbEI

SIMU.tv: Baraza la taifa la elimu ya ufundi NACTE limesisitiza Udahili wa pamoja kwa kutumia mfumo wa CIS ambao unahusisha vyuo vyote vya serikali na binafsi ili kuepusha udanganyifu. https://youtu.be/xeHGx1y1wC8

SIMU.tv: Wakazi wa kata ya Kibaigwa wilayani Kongwa wamenufaika na mradi wa maji uliofadhiliwa na kampuni ya bia ya Serengeti ambapo utawapunguzia adha ya kufuata maji umbali mrefu. https://youtu.be/TxbiJ9sQljM
  
SIMU.tv: Watu saba wa familia moja wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameuwa kwa kukatwakatwa mapanaga na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. https://youtu.be/dnsPgsfaITU

SIMU.tv: Zoezi la majaribio la mabasi yaendayo haraka limesogezwa hadi jumatatu ijayo ili kuwapa uzoefu wakutosha watumiaji wa mabasi hayo. https://youtu.be/ppazp5PoBCg

SIMU.tv: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ameondoka nchini kwenda Kampala nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni. https://youtu.be/o6PMeT145e4

SIMU.tv: Wafanyabiashara wakubwa katika soko la Kariakoo wamelazimika kufunga maduka yao kutokana na wafanyabiashara wadogo kutanda nje ya maduka hayo huku wakishinikiza kuendelea kufanya biashara maeneo hayo licha ya manispaa kutoa agizo la kuondoka maeneo hayo. https://youtu.be/UXCTzyDVvNg

SIMU.tv: Mkazi kutoka mtaa wa Mabatini mkoani Dodoma amekua akifanyabiashara ya kuuza panya wa kitoweo katika mji wa Iringa ambapo amekua akijipatia kipato. https://youtu.be/1oQpkHmNzQE   

SIMU.tv: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imezindua duka la huduma kwa wateja katika kata ya Mabwepande ambapo ni juhudi za kampuni hiyo kusogeza huduma karibu na wateja wake. https://youtu.be/fqsM5LfdUFE

SIMU.tv: Ligi kuu ya Tanzania bara imeendelea leo wakati Simba ilipokaribishwa na timu ya Majimaji ya mjini Songea ambapo mchezo huo umeishia sare ya kutofungana. https://youtu.be/nX9L2fqLFw4

SIMU.tv: Bondia kutoka nchini Irani amewasili nchini kwa ajili ya pambano kati yake na bondia mtanzania Thomas Mashali. https://youtu.be/_t_gg9cIouA

SIMU.tv: Msanii wa mziki wa kizazi kipya maarufu kama Diamond Platinumz amewakaribisha wasanii wa kundi la Mafikizolo kutoka nchini Afrika Kusini ambao atashirikiana nao kutumbuiza kwenye tamasha la uzinduzi wa mtandao wa kasi zaidi kutoka Vodacom. https://youtu.be/ISWtY3Vdb58

SIMU.tv: Msanii wa kizazi kipya Shilole ametoa msaada kwa kambi ya kulelea wazee wasiojiweza kituo cha Bukumbi wilayani Misungwi kama njia ya kuwasaidia wazee hao. https://youtu.be/1-SPP6KdpK0

SIMU.tv: Uongozi wa klabu ya West Ham United upo mbioni kuwabaini mashabiki wake waliofanya vurugu wakati wa mchezo wake dhidi ya Manchester United ambapo itawafungia wote watakao bainika. https://youtu.be/Cg9sOmT4Q7g
SIMU.tv: Ikiwa ni miaka 35 tangu kifo cha nguli wa miondoko ya reggae duniani Bob Marley vyombo mbalimbali vya habari vimemuenzi kwa namna tofauti tofauti. https://youtu.be/fxIBRcgUSl4

Attachments area
Preview YouTube video Mvua Yasababisha Kifo Cha Mwanafunzi Preview YouTube video Shehena Ya Sukari Yakutwa Bandari Kavu Ya PMM Preview YouTube video Sukari Yakutwa Imefichwa Kiwandani Preview YouTube video NACTE Yasisitiza Matumizi Ya CIS Preview YouTube video Kibaigwa Wapata Neema Ya Maji Preview YouTube video Watu Saba Wa Familia Moja Wauwawa Kikatili Preview YouTube video Wananchi Waongezewa Muda Wa Kupanda Bure Mabasi new Preview YouTube video Magufuli Ahudhuria Sherehe Za Kuapishwa Kwa Museveni new Preview YouTube video Machinga Wakwamisha Biashara Kariakoo Preview YouTube video Ajipatia Kipato Kwa Kuuza Panya Preview YouTube video Vodacoma Yawafikia Mabwepande Preview YouTube video Simba Yazidi Kuvurunda Preview YouTube video Bondia Kutoka Iran Atua Nchini Preview YouTube video Mafikizolo Kumsindikiza Diamond Preview YouTube video Shilole Awakumbuka Aasiojiweza Preview YouTube video West Ham Kuwafungia Mashabiki Wake Preview YouTube video Miaka 35 Tangu Kifo Cha Bob Marley Preview YouTube video Watu Saba wa Familia Moja Wauawa Kikatili Mwanza Preview YouTube video Sukari Yaanza Kushuka Bei Nchini Preview YouTube video Sakata la Sukari Lazidi Kufukuta Jijini Dar Preview YouTube video Magufuli Kuhudhuria Kuapishwa Rais Museveni Preview YouTube video Wizara ya Afya Kuboresha Vyuo Vyake Nchini Preview YouTube video Mogella Asitisha Huduma Kivuko cha Kamanga Preview YouTube video Tanzania Yapanda Viwango vya Kufanya Biashara Kisasa Preview YouTube video Mkapa Foundation Kusaidia Afya Mgodini Bulyanhulu Preview YouTube video SBL Yakabidhi Kisima Kibaigwa Preview YouTube video Wakulima, Wafugaji, Wajasiliamali Kukutana Dar Preview YouTube video Mgahawa wa Kisasa Pizza Hut wafunguliwa Jijini Dar new Preview YouTube video Simba na Majimaji hakuna Mbabe Preview YouTube video Mpinzani wa Bondia Thomas Mashali Awasili Nchini Preview YouTube video Michezo ya Jadi Yapata Katiba yake Preview YouTube video Timu ya Kriketi Yakwea Kujifua Uingereza Preview YouTube video Filamu ya Imebuma Yafungiwa Nchini Preview YouTube video Bob Marley Akumbukwa Leo
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA