4x4

MAADHIMISHO YA MAY DAY DODOMA

Tazama vikundi mbalimbali vya ngoma za asili vikitumbuiza kwenye sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi mkoani Dodoma https://youtu.be/La06nPXwYnI

Rais Magufuli akiwa anaingia uwanjani mjini Dodoma tayari kwa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani;https://youtu.be/gpbwkY9yA0Y  

Waziri anayeshughulikia masuala ya ajira Jenista Mhagama akitoa salamu zake kwa wageni na wananchi mkoani Dodoma kwenye Kilele cha maadhimisho ya mei mosi; https://youtu.be/deM3lUA3W1A

Rais Magufuli, Wageni waalikwa na wananchi kwa ujumla waliohudhuria maadhimisho ya mei mosi wakiimba wimbowa taifa ukifuatiwa na utambulisho kwa wageni mashuhuri; https://youtu.be/Q1AUAQcDw2k

Rais Magufuli amesema idadi ya watumishi na madeni hewa yanavyozidi kuongezeka nchini yanamsikitisha sana na wakati mwingine anajutia hata kwanini aliomba urais; https://youtu.be/FmM-TGwDZ4Q

Washindi mbalimbali wa vikundi vya michezo wakipokea zawadi zao mbele ya mgeni rasmi Rais Magufuli;https://youtu.be/-hmoNX-j9wg

Tazama burudani kutoka kwa wagogo wakitumbuiza kwenye maadhimisho ya mei mosi mkoani Dodoma;https://youtu.be/-gqxO7N2XDM

Post a Comment