4x4

PICHA LUKUKI ZA VURUGU BUNGENI LEO

 Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (aliyevaa kaunda suti) akisindikizwa na askari  alipotolewa bungeni mjini Dodoma leo baada kutokea vurugu wakati Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Augustino Holle alipochafua hali ya hewa wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, kwa kumwita Mnadhimu wa Upinzania Bungeni , Tundu Lisu kuwa ana faili Milembe. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Millinga akichangia makadilio ya bajeti ya Wizara Katiba na Sheria, bungeni Dodoma, ambapo alichafua hali ya hewa kwa kutoa lugha iliyowaudhi wabunge wa upinzani.
 Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama kuomba muongozo kupinga lugha ya kuudhi iliyotolewa kwao na Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Millinga alipokuwa akichangia makadilio ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria bungeni Dodoma
 Tundu Lissu akiomba muongozo kwa Naibu Spika kupinga kuambiwa kuwa ana faili Milembe

 Naibu Spika, Tulia Ackson akiweka sawa mambo
 Mbunge wa Jimbo la Kasulu, Augustino Holle  akichangia makadilio ya bajeti ya Wizara Katiba na Sheria, bungeni Dodoma, ambapo alichafua hali ya hewa kwa  kwa kumwita Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kwamba ana chati cha Milembe. kwa kutoa lugha iliyowaudhi   kutoa lugha iliyowaudhi wabunge wa upinzani bungeni.

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akihamaki
Post a Comment