4x4

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA DARAJA KWENYE MTO KAVUU, WILAYA YA MLELE, MKOA WA KATAVI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa kijiji cha Majimoto wialyani Mlele kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Agosti23, 2016.

Ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake Agosti 23, 2016.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele Agosti 23, 2016
Post a Comment