4x4

Harusi ya Tunda Man na Sabrah Dar es salaam


Tunda Man ni miongoni mwa Waimbaji wa siku nyingi kutokea TipTop connection, nakumbuka mwaka huu mwanzoni alitoa ahadi kwamba Mungu akijalia kabla mwaka haujaisha ataingia kwenye ndoa na kweli katimiza ahadi.
screen-shot-2016-10-15-at-9-22-58-am
Tunda Man na mkewe Sabrah
screen-shot-2016-10-15-at-9-22-50-am
Madee alikuwepo pia
screen-shot-2016-10-15-at-9-22-38-am
Madee na shemeji yake
screen-shot-2016-10-15-at-9-22-24-am
Tunda Man, Kassim Mganga na Madee
screen-shot-2016-10-15-at-9-22-17-am
Dogo Janja, Kassim Mganga, Sabrah, Tunda Man na Madee.
screen-shot-2016-10-15-at-9-22-01-am
screen-shot-2016-10-15-at-9-35-16-am
Sabrah, Tunda Man na Dogo Janja siku ya harusi
Post a Comment