BREAKING NEWZZ!!- RAIS MAGUFULI AFUNGUKA KUMUUNGA MKONO MKUU WAKE WA MKOA MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE TANZANIA LIVE!!


2-3
RC Makonda leo akiwa Ubungo katika mwendelezo  wa mikutano yake ya kusikiliza kero za wananchi. Wananchi wa Kimara waliuliza kuhusu bomoa bomoa Kimara bila kulipwa fidia.

RC Makonda wakati anafafanua aliamua kupiga simu direct kwa Mhe Rais Magufuli ambaye alipokea na kuanza kuongea kwa kutoa ufafanuzi wa kina kupitia loud speaker ya simu ya RC Makonda ambayo iliunganishwa vipaza sauti watu wote waliokuwepo wakisikiliza.
Baada ya ufafanuzi mrefu Mhe JPM aligusia kuhusu nyumba zilizoko ktk road reserve na kusema hata jengo la Tanesco kama liko ktk eneo husika litavunjwa.
Amesema serikali imepata pesa tayari kujenga interchange ya ghorofa 2/3  ya aina yake.
Mhe Rais JPM amempongeza RC Makonda na kumtaka aendelee kutatua kero za wananchi na ingependeza RC'S wengine wangeiga utaratibu huu.

Maana kero nyingi za wananchi hazijipati majibu kwa wakati kufanya hivyo itapunguza malalamiko  mengi.

Mtindo huu wa mawasiliano baina ya RC na Mhe Rais umeamsha hisia chanya kwa wananchi kiasi Mhe JPM alivyomaliza kuongea wananchi walilipuka kwa Shangwe kubwa sana.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS