Papa Francis awateua makadinali wapya 17


Kadinali Dieudonne Nzapalainga, kutoka Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati ni kati ya walioteuliwa.Image copyrightEPA
Image captionKadinali Dieudonne Nzapalainga, kutoka Bangui ,Jamhuri ya Afrika ya Kati ni kati ya walioteuliwa.
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis amewateua makadinali wapya wa kanisa katoliki kote duniani, wengi ambao wanashiriki katika kumchagua mrithi wake.
Makadinali hao wapya wanatoka mabara matano akiwemo mjumbe wa Vatican nchini Syria.
Sasa Papa Francis amechagua theluthi moja wa makadinali ambao watamchagua mrithi wake.
Ni makadinali walio chini ya miaka 80 tu ambao wanaweza kumchagua Papa mpya. 13 kati ya wale walioteuliwa wako chini ya miaka 80 na sasa wanahitimu kumrithi.
Anthony Soter Fernandez kutoka Kuala Lumpur, apongezwa baada ya kuteuliwa kuwa kadinaliImage copyrightAFP/GETTY IMAGES
Image captionAnthony Soter Fernandez kutoka Kuala Lumpur, apongezwa baada ya kuteuliwa kuwa kadinali
Ni mara ya tatua katika kipindi cha miaka mitatu ambapo Papa Franciss, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini kuwateua makadinali wapya
Makadilani hao wapya wanatoka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati , Bangladesh, Papua New Guinea na Mauriotius miongoni mwa nchi zingine.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA