4x4

SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI

  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing aliyetembelea Ofisini kwake leo tarehe 03 Nov, 2016 Mjini Dodoma.
 Balozi wa China nchini Dkt LU Youqing akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 
 1.    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing aliyetembelea Ofisini kwake leo tarehe 03 Nov, 2016 Mjini Dodoma.
 1.    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa tatu toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing, pamoja na ujumbe aliombatana nao mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
1.    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa tatu toka kulia) akiagana na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge


Post a Comment