4x4

NDUGAI AENDA KUHIJI ISRAEL

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Israel (Knesset), Yuli Yole Edelsten wakati Spika alipomtembelea bungeni hapo. Ndugai yupo nchini Israel kwa ibada ya Hija. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment