Preview YouTube video Swali Kuhusu Mikopo Kwa Wananchi
Preview YouTube video Majibu Kuhusu Ujenzi Wa Viwanda Wilayani Ileje
Preview YouTube video Ujenzi Kituo Cha Polisi Chake Chake
Preview YouTube video Ujenzi Wa Viwanda Mkoani Kagera
Preview YouTube video Suala La Wanajeshi Kutesa Raia Wa Kawaida
Preview YouTube video Sekta Ya Uvuvi Nchini
Preview YouTube video Swali la Mbunge Ndasa Kuhusu Uvuvi Wa Samaki
MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA
* Bi Julie Mkulo*Anasikitika kutangaza kifo cha mume wake *Bw.Mustafa Mkulo* kilichotokea Leo *04-05-2024* Katika *hospital ya Muhimbili Dar es salaam* Shughuli zote za mazishi zitakuwa *Msikiti Maamur* *04-05-2024* Maziko yatakuwa jumapili *05-05-2024* Kilosa Morogoro Taarifa zaidi zitatolewa baadae *Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon* Pumzika kwa amani Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa zamani wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa.
Comments