Trump kufanya mazungumzo kuhusu Nato Ubelgiji

Maandamano ya k,upinga ziara ya Trump Ubelgiji yalifanyika BrusselsHaki miliki ya pichaAFP
Image captionMaandamano ya k,upinga ziara ya Trump Ubelgiji yalifanyika Brussels
Rais wa Marekani Donald Trump yuko mjini Brussels kwa kile kinachotajwa kuwa mazungumzo magumu na wanachama wa Nato.
Trump anatarajiwa kukutana na maafisa wa Ulaya leo Alhamisi. Amekuwa mkosoaji wa NATO na Muungano wa Ulaya.
Baada ya kuwasilia mjini Brussels, Bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa Ubelgiji huku maelfu ya watu wakiandamana kupinga kuwepo kwake mjini Brussels.
Mapewma Trump alikutana kwa muda mfupi na Papa Francis huko Vatican.
Baada ya kuwasili mjini Brussels, bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa UbelgijiHaki miliki ya pichaAFP
Image captionBaada ya kuwasili mjini Brussels, Bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa Ubelgiji
Bwana Trump amewalamua wanachama wengine wa NATO kwa matumizi ya chini kwa ulinzi kuliko kiwango kilichoafikiwa cha asilimia mbili ya pato la nchi.
Kabla ya mkutano wa leo Alhamisi , waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Rex Tillerson aliwaambia waandishi wa ahabriu kuwa Trump anataka kuwashinikiza wanachama wa NATO kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Bwana Tillerson alisema kuwa Rais Trump ambaye ameshinikizwa na mataiafa ya Ulaya kuunga mkono mkataba kuhusu hali ya hewa wa Paris, bada hajafanya uamuzi ikiwa Marekani iatajiondoa kwenye makubaliano hayo.


0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA