4x4

YANGA ILIVYOTOLEWA SPORTPESA SUPER CUP

Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akiruka kuwania mpira na beki wa AFC Leopards, Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam . Yanga ilitolewa kwa njia ya penalti.
Post a Comment