JAFO APONGEZA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA KULETA MAENDELEO NCHINI.


 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizungumza katika uzinduzi wa mpango mkakati wa Tanzania Evaluation Association.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizindua mpango mkakati wa Tanzania Evaluation Association.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizindua mpango mkakati wa Tanzania Evaluation Association.
 Baadhi ya washiriki waliohudhuria uzinduzi wa mpango mkakati wa Tanzania Evaluation Association.
 Baadhi ya washiriki waliohudhuria uzinduzi wa mpango mkakati wa Tanzania Evaluation Association.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizindua mpango mkakati wa Tanzania Evaluation Association.
...........................................................................
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amepongeza wadau mbalimbali nchini kwa kuendelea kushirikiana na serikali katika kuleta maendeleo ya Taifa.

Jafo aliyasema hayo alipokuwa akizindua Mpango mkakati asasi ya watathimini nchini uitwao Tanzania Evaluation Association (TanEA) uliofanyika Julius Nyerere Conference Centre jiji Dar es salaam.

Taasisi hiyo imefanikiwa kuzindua mpango mkakati huo wa miaka mitano kuanzia 2017 - 2021 ambao unalenga kufanya tathmini ya mipango mbalimbali ya maendeleo nchini ili kuweza kutoa mwanga kwa maeneo yaliyo fanyika vizuri na maeneo ambayo hayakupata mafanikio yaliyo kusudiwa ili kuiwezesha Tanzania kutimiza dhamira ya kufikia nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025 kupitia uchumi wa viwanda.


Akizungumza katika uzinduzi huo Jafo amezitaka taasisi mbalimbali hapa chini pamoja na taasisi za kimataifa kuendelea kushirikiana na serikali katika kuleta maendeleo hapa nchini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA