WADAU SAMAHANI KWA KIPINDI KIREFU BLOG HII KUTOKUWA HEWANI, YOTE YAMETOKANA NA KUTII SHERIA ZA NCHI, KWAMBA HUWEZI KUENDESHA BLOG HADI ISAJIRIWE. NAWAAHIDI NDANI YA MIEZI MIWILI IJAYO NITAISAJIRI ITAKUWA HEWANI KAMA KAWAIDA. SAMAHANI SANA KWA USUMBUFU.
MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Mulugo, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akitangaza matokeo ya mtihani wa darasa la Saba 2011, ofisini kwake. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Selesine Gesimba.
Comments