MWAKANG'ATA AKUMBUSHIA BUNGENI UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI, NTOWISA HADI MLOWO+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata amechukua hatua ya kukumbushia ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Kibaoni, Mtowisa hadi Mlowo inayounganisha mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwakang'ata akikukumbushia ujenzi wa barabara hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA