BONANZA LA KUJENGA UHUSIANO BAINA YA MIPANGO, MBOGWE LAFANA DODOMA

Wachezaji wa timu za mchezo wa Pete za watumishi na wanafunzi wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), wakichuana wakati wa bonanza la michezo la kujenga uhusiano baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe na Chuo hicho.

 Bonanza hilo ambalo ngeni rasmi alikuwa Mkuu wa Chuo hicho, Profess Hozen Mayaya lilishuhudiwa pia na Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemus Maganga limefanyika leo Juni 3, 2023 katika viwanja vya Shule ya John Merlin jijini Dodoma.


Michezo iliyoshindaniwa ni soka, Pete, mbio, kuvuta kamba, mbio za magunia na mchezo wa kufukuza kuku.


Kwa upande wa soka timu za Mbogwe na Mipango zilitoka sare ya mabao 2-2,  mbio walishinda Mbogwe, kuvuta kamba walishinda Mipango, mbio za magunia  Mbogwe, kufukuza kuku walishinda Mipango na Pete ushindi ulienda kwa watumishi wa Mipango kwa vikapu 18-15.






 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.