Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiwa na MNEC Salim Abri (ASAS), Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa Subira Mgalu ,Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa Zaynab Mwamwindi , Waziri wa Maji Juma Aweso na Mkuu wa Mkoa wa Iringa pamoja na Viongozi Mbalimbali wa Serikali Chama na Jumuiya UWT leo wameshiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Bonde la Wami/ Ruvu Bi Hafsa Mtasiwa Nyumbani kwa Mumewe Dr Mtasiwa Mtaa wa Mlandege Iringa Mjini
Aidha Marehemu aliwai kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa mwaka 2012-2017.
INALILAH WAINALILAH RAJIUN.



Comments