Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka serikali kufanya haraka kuweka umeme katika baadhi ya mitaa ya jimbo hilo ikiwemo ya Unguja na Pemba.
Pamoja na mambo mengine ametoa ombi hilo alipokuwa akitoa mchango wakati wa kujadili Bajeti ya Wizara ya Nishati bungeni Dodoma Aprili 25, 2024.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203
Comments