VIONGOZI WA UWT WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO* .



Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Ndg Mary Chatanda (MCC)  akiwa na Viongozi wa UWT Taifa wameshiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni Rasmi ni  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan. 


#UWTImara 

#JeshiLaMamaSamia 

#KaziIendelee




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

DKT NCHIMBI AAGIZA UJENZI UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA UKAMILIKE HARAKA