WAPIGAPICHA MAHIRI ENZI ZA MWALIMU NYERERE


 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wapiga picha  toka vyombo mbalImbali vya habari hapa nchini (enzi hizo) wakati alipokuwa akiwaaga ikulu jijini Dar es Salaam mwaka 1985. Toka kushoto waliosimama ni mpiga picha Mkuu wa Gazeti la Mfanyakazi Maxi Madebe, Mpiga picha mkuu wa SHIHATA Sam Mmbando, Mpiga picha mkuu wa gazeti la Daily News Vicent Urio na mpiga picha mkuu wa serikali John Baptist Makwaia. Wengine ni mpiga picha wa sinema wa Taasisi ya Vielelezo (AVI),Mzee Sailen, wapiga picha wa SHIHATA Juma Dihule na Adinan Mihanji. Mwisho ni mpiga picha wa Idara ya Habari Maelezo, Moshy Kiyungi. Waliochuchumaa  toka kushoto ni mpiga picha wa Ikulu, mpiga picha wa Maelezo na baadaye Mbunge wa Mlalo, Charles Kagonji, mpiga picha Daily News Gasper  Msillo, mpiga picha wa Maelezo Mwanakombo Jumaa, mpiga picha mkuu wa Uhuru na Mzalendo na baadaye Mpiga Picha wa Ikulu Zanzibar, Khatib Ally na mpiga picha wa Maelezo na baadaye mpiga picha mkuu wa serikali, Raphael Hokororo.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

DKT NCHIMBI AAGIZA UJENZI UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA UKAMILIKE HARAKA