KIKWETE AANZISHA MSOGA HALF MARATHON

Siku Hazigandi Muda umefika. Ni zame ya Msoga Half Marathon . Karibuni sana Msoga tuunge mkono hatua hii kubwa ya kupigania Afya ya Uzazi kwa kuchangia kubotesha huduma za Afya kwa Wakina mamana Watoto. Tarehe 29 Mwezi huu wa 6 Mwaka 2024. Mahali ni Msoga, ilipo Hospitali ya Wilaya na alipozaliwa Mzee wetu Jakaya kikwete. Sio tukio la kukosa. Tunatanguliza shukrani kwa wote waliojitoa kuchangia jambo hili. Malengo ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali kunaliza au kupunguza vifo vya Wakina mama na Watoto. Tunawashukuru wadau wote tena . #SwaliNiniUmeifanyiaJamiiYako! #KaziInaendelea #MsogaMarathon

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAS KILIMANJARO NA DEREVA WAFARIKI KWA AJALI, MKUU WA MKOA ADHIBITISHA

BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA TIXON NZUNDA

JKCI YASHIRIKI KAMPENI YA AFYA CHECK KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO

CRDB BUNGE BONANZA LAFANA DODOMA

BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO

BALOZI NCHIMBI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA NZUNDA SONGWE

MBUNGE MBOGO AWAALIKA BUNGENI VIONGOZI UWT KATAVI

DKT NCHIMBI AUNGURUMA KILIMANJARO

NJOO UJIUNGE NA CHUO MARIDADI CHA AFYA CHA KAM