๐ฅ BREAKING NEWS
"Taarifa kutoka Misri ๐ช๐ฌ zinaelezwa kuwa klabu ya Aston Villa ameanza mazungumzo na klabu ya Pyramids kwaajili ya kumsajili mshambuliaji wao hatari Fiston Kalala Mayele katika dirisha hili la Usajili."
"Mayele ambae ni kinara wa magoli katika ligi hiyo ya misri akiwa na Magoli 12 kwa upande wake yupo tayari kujiunga na klabu hiyo na anatazamiwa kujiunga na klabu hiyo endapo wakifikiana makubaliano na Yanga pia watapata mgao wao kulingana na mikataba waliyosaini alipo sajiliwa Pyramids."

Comments