๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ 35 ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Uongozi wa mabingwa wa nchi Yanga upo mbioni kuomba ridhaa kutoka kwa wanachama wao kuelekea mkutano mkuu wa mwaka kwa kuongeza bajeti ya uendeshaji kutoka 24.5 BILLION ya msimu huu 2024-2025 ,Hadi kufikia 35.25 BILLION,kwa msimu 2025-2026.
Ongezeko la bajeti hii mpya imelenga kwenye mambo makuu;
-Ujenzi wa Uwanja(Awamu ya kwanza)AGENDA KUU.
-Usajili wa wanachama na mashabiki wa Yanga SC.
-Usajili wa Wachezaji wapya na kuboresha maslahi kwa Wachezaji ambao wanakwenda kuongezewa mikataba mipya.
-Safari za ndani na nje.
-Kambi ndani ya nchi na nje ya nchi(Pre season)
-Uzinduzi wa project mpya ya mabadiliko kwa phase namba Tatu(INVESTMENTS).
#TimuYaWananchi #BajetiMpya
Comments