Hizi hapa faida za majani ya mpera
- Ukitaka nywele zako zikuwe kama kichaa, basi fanya hivi chuma majani ya mpera yachemshe uwe unaoshea nywele zako kila siku nywele zako zitarefuka kwa asilimia 100%.
( ONYO : Maji ya mpera yanakuzisha nywele hadi kupitiliza tumia kistarabu)
- Majani ya mpera ni dawa kwa wale wanaotaka kutoa manyama uzembe yanu uzito, fanya hivi chemsha majani yake kunywa glass 1 (1*3) 200mls ikamulie na limao/ndimu.
(NONYO majani haya hupunguza uzito kwa kasi, hivyo tumia kulizingatia diet yako)
Majani ya mpera ukiyasaga na kuyalainisha ukawa unapaka kwenye ngozi
- Huoandoa chunusi sugu + Colgate
- Huondoa miwasho ya ngozi
- Huodoa visundosundo
- Huondoa mabaka meusi kwa ngozi
Ukikausha majani ya mpera ukawa unatumia kwa chai yako kila siku
- Kuondosha kabisa cherestol mbaya mwilini hivyo kukufanya uwe na cherestol nzuri HDL
- Hupunguza shida ya ugumba kwa wanaume.
- Huepusha shida ya tezi dume
- Huongeza nguvu za kiume mara ×28
- Husaidia kupanua njia ya mapafu uwezi nzuri wa kupumua
- Kutibu mamumivu ya kifua na mapafu.
- Huzuia maumivu ya tumbo la period (hedhi) au tumbo la kuharisha
- Huzuia sumu kushindwa kufanya kazi kama ipo tumboni
- Husaidia wanaume wengi kupata watoto hasa wenye manii ambayo hayana nguvu ya kuzalisha (kutungisha mimba)
Pia majani yake mabichi huweza kutibu maumivu ya sikio, kukatwa na kisu(panga) fizi kuuma.
Pia majani yake huongeza kinga ya mwili ndani ya masaa 7 pekee.
WALEWALIO JIUNGA GROUP LANGU LA KULIPIA KUNA SOMO LA WHATSAPP
Kujeni niwape zawadi konki
Comments