MAVUNDE AANZA KAMPENI MTAA KWA MTAA JIMBO LA MTUMBA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Anthony Mavunde ameanza rasmi awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbali katika maeneo husika.

Septemba 6,2025,Mavunde alikuwa kata ya Iyumbu na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya Iyumbu,UDOM,Mwinyi na Nyerere ambapo pia alitumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Iyumbu Sadick Mponyamili






 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO