Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi, Dkt. Asha-Rose Migiro amefungua Jukwaa la Wanawake 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), lenye kauli mbiu 'Mama ni Amani’, leo Alhamisi, tarehe 4 Desemba 2025, jijini Dodoma.
Jukwaa hilo lililowakutanisha wanawake walioko kwenye makundi ya kijamii kutoka maeneo mbalimbali nchi nzima, pia lilihudhuriwa na viongozi wa dini pamoja na wageni wengine waalikwa, lengo likiwa ni kuzungumzia mchango wa wanawake katika kudumisha tunu zinazojenga misingi ya taifa na kuimarisha nchi yetu.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja waliotoa mada katika kigamano hilo.
Balozi Migiro akizungumza jambo na Balozi Christopher Liundi aliyetoa mada kuhusu Tanzania ya Tabasamu.
Balozi Migiro akisalimiana na Spika mstaafu, Dkt. Tulia Ackson.
Baadhi ya viongozi wa Dini waliohudhuria kongamano hilo.
Baadhi ya wabunge waliohudhuria kongamano hilo.
Baadhi ya viongozi wa Dini waliohudhuria kongamano hilo.
Baadhi ya wabunge waliohudhuria kongamano hilo.












Comments