Mtandao wa Instagram (Meta) umefunga rasmi kurasa za mwanaharakati wa mtandaoni Mange Kimambi leo Desemba 3, 2025.
Akaunti zilizofungiwa ni ukurasa wake binafsi wa Instagram pamoja na ukurasa wa Wananchi Forum, ambazo kwa muda mrefu zilihusishwa na kuratibu na kuhamasisha vurugu wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.

Comments