Askofu Mkuu wa Makanisa ya KarmelI Assembilies of God (KAG) Tanzania,Dkt. Evance Chande akiliombea Taifa amani na utulivu katika katika ibada maalumu ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2026 katika Kanisa la KAG Ipagala jijini Dodoma Januari Mosi, 2026. Katika Ibada hiyo aliwaombea pia vijana, Wakulima, Wafanyabiashara, Wafanyakazi,Wanafunzi, Watoto na Watanzania wote kwa ujumla.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments