Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ashiriki Mazishi ya Maria Peter Mgongolwa ambaye ni Mama Mdogo wa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Ndg. Zainab Mwamwindi aliyefariki Dunia tarehe 31 Disemba, 2025, na kuzikwa Januari 3, 2026, katika Kijiji cha Ulanda Mkoani Iringa.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe, Amen.





Comments