…licha ya kuomba radhi, Kocha wa timu ya taifa ya Senegal 🇸🇳, Pape Thiaw, amefungiwa mechi 6 na shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kosa la kuwataka wachezaji wake waondoke uwanjani, baada ya refa kutoa penalty kwa timu ya Morocco 🇲🇦, katika dakika za mwisho za fainali ya AFCON 2025…
Mbali na Kocha kufungiwa, timu ya Senegal 🇸🇳, Mabingwa wa Afrika, watakatwa alama 9, katika mechi zao zijazo za kufuzu AFCON 2027…
Kuna uwezekano mkubwa tusiwaone mabingwa watetezi, Tanzania 🇹🇿- Kenya 🇰🇪- Uganda 🇺🇬 2027… 🙊

Comments