TANZANIA NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO

Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa, Rhimo Nyansaho akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini ndugu Lentz Dodoma.
 
Akiwa jijini Dodoma, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Lentz amekutana kwa mara ya kwanza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Rhimo Nyansaho. Mazungumzo yao yalilenga katika kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi kati ya Marekani na Tanzania, ambapo pande zote mbili zilionesha matumaini na shauku kubwa kwa mazoezi yajayo ya pamoja ya kijeshi kama hatua muhimu ya kuendeleza uimara na utayari wa vikosi, weledi, na ushirikiano wa muda mrefu wa kiusalama — jitihada zinazosaidia kuzifanya Tanzania na Marekani kuwa salama.






 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

MBUNGE DKT. MAJULE ATOA MSAADA WA VYAKULA, VYANDARUA 100 SHULE YA VIZIWI DODOMA

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

DKT. MAJULE AKABIDHIWA CHETI CHA SHUKRANI UWT DODOMA KUFANIKISHA USHINDI WA CCM 2025

MATUKIO RAIS, AMIRI JESHI MKUU DKT. SAMIA AKIZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA (MMUT)

WANAOTAZAMWA KUMRITHI AYATOLLAH ALLY KHAMENEI.