Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge tuzo ya mdhamini mkuu wa
Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi cheti mfanyakazi bora wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Afisa Utawala Adila Lugamara wakati wa
Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge tuzo ya mtoa mada wakati wa
Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini
wa Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
wakifuatilia mada zinazoendelea katika Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Baadhi ya Maafisa Utawala na Rasilimali Watu wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Utawala na
RasilimaliWatu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa Mkutano wa
pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa Arusha (AICC).
Picha na JKCI
Picha na JKCI
Comments