YANGA NA REKODI ZA AJABU ZILIZOJIFICHA

Klabu ya Young Africans sports club imethibitisha ukubwa wake Kwa kuweka rekodi za ajabu katika historia ya soka la Tanzania;


1. MABINGWA MARA 31-REKODI YA NCHI.

Klabu ya Young Africans sports club imeshinda taji la ligi kuu mara 31-ikifanya kuwa klabu yenye historia nzuri kwenye mashindano ya ligi kuu nchini Tanzania.

2. MECHI 49 BILA KUPOTEZA-REKODI YA KIBABE

Yanga ina rekodi ya kushangaza kwani imecheza michezo 49 bila kufungwa kwenye ligi-rekodi ambayo bado inasimama.

3. MSIMU BORA ZAIDI 2024/2025.

Yanga alifunga mabao 83,kuruhusu mabao 10 tu,ikiwa na ushindi 27,mshindo 2 na Sare 1

4. FAINALI YA CAF CONFEDERATION CUP 2023.

Mwaka 2023 Yanga ilifika fainali ya CAF confederation cup Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia yake.Ilipoteza dhidi ya USM Algiers Kwa magoli ya nje (2-2) lakini ilikuwa mafanikio makubwa Kwa historia ya Young Africans.

5. TROPHIES 5 KWA MSIMU MMOJA  2024/2025.

Katika msimu wa 2024/25 klabu ya Young Africans ilishinda mataji matano ambayo ni NBC community Shield, Toyota championship cup,Union Cup,NBC premiere league na Federation cup.

6. MZIZI WA HISTORIA YA TANGANYIKA-REKODI YA KISIASA.

Wakati wa ukoloni Yanga ilikuwa na uhusiano wa karibu na Chama cha TANU-chama cha kisiasa kilichoongoza mapambano ya uhuru.

7. THAMANI YA SHILLINGS 100 BILLIONS TZS!

Klabu ya Young Africans ina thamani ya shillings 100 billions za kitanzania na kuifanya kuwa klabu yenye thamani kubwa Tanzania


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE