WAJASIRIAMALI WACHANGAMKIA KUJIUNGA NSSF SEMINA ILIYOANDALIWA NA JUWATA

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imevuna wateja wengi baada ya kunadi huduma zake katika semina ya siku tatu ya mafunzo ya ujasiriamali ya "Jifunde kwa Mama Ujasiiamali" iliyoandaliwa na Jukwaa Huru la Wahariri Tanzania (JUWATA) kwa ushirikiano na Mamo Enterpreneurship iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Bwalo la JKT la Umwema Morogoro Mjini. Semina hiyo iliyohudhiriwa na zaidi ya wajasiramali 1000 ilifunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima aliyewakilishwa na Beatrice Njawa, Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Julai 13, 2026. Uongozi wa Jukwaa hilo jipya unaoongozwa na Mwenyekiti Richard Mwaikenda na Katibu Mkuu Ahmad Mohamed ulitumia semina hiyo kulitambulisha Jukwaa hilo lililoanzishwa hivi karibuni.




Wajasiriamali wakiwa katika mafunzo.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎