WAJASIRIAMALI WATAKAOFUZU MAFUNZO KUPITIA JUWATA, MAMO KUPELEKWA SABASABA 2027

Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Morogoro, Beatrice Njawa ameviahidi vikundi vitano vya Wajasiriamali kuvipeleka kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam 2027, endapo vitafanya vizuri katika mafunzo ya siku tatu ya ujasiriamali ya "Jifunze kwa Mama Ujasiriamali" yaliyoandaliwa na Jukwaa Huru la Wahariri Tanzania (JUWATA) kwa ushirikiano na Taasisi ya Mamo Enterpreurship kwenye Ukumbi wa Bwalo la JKT Umwema mjini Morogoro kuanzia Julai 13 hadi 15, 2026.


Sehemu ya Wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Morogoro wakiwa katika mafunzo hayo.

 Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Morogoro, Beatrice Njawa (katikati), akisindikizwa na Mwenyekiti wa JUWATA, Richard Mwaikenda (kushoto) na Katibu Mkuu wa Jukwaa hilo, Ahmad Mohamed baada ya kufungua mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na zaidi ya wananchi 800.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.