1 Pensheni sawa na 80% va mshahara wa Makamu atakayemrithi
2 Kiinua mgongo sawa na 50% va mishahara yake yote aliyopokea akiwa Makamu wa Rais.
3 Posho ya kufungia (winding up allowance ambayo itahesabiwa kwa kuangalia mshahara nkubwa zaidi aliowahi kupokea.
4 Mwenza wake atapokea jumla ya mafao ambayo ni sawa na robo ya mishahara yote aliyopokea akiwa kama Makamu wa Rais-
5 Passport ya kidiplomasia pamoja na mwenza wake.
6 Magari mawili ambayo yatabadilishwa kila baada ya miaka mitano pamoja na Matengenezo ya magari hayo;
7 Nyumba yenye vyumba vya kulala vitatu au zaidi na samani zake Nyumba ya Wafanyakazi (servant quarter)
8 Posho ya kujikimu sawa na 80% ya mshahara wa mwezi (NB: Hii ni tofauti na ile Pensheni);
9 Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi.
10 Posho ya kujikimu sawa na 80% ya mshahara wa mwezi (NB: Hii ni tofauti na ile Pensheni).
11 Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi
12 `Usafiri daraja la kwanza anaposafiri nje ya nchi Usafiri daraia la kwanza kwa mwenza na msaidiz mmoja anayesafiri naye nje ya nchi
13 Gharama zote za Usafiri anaposafiri ndani ya nchi pamoja na Gharama za madereva anaposafiri ndani ya nchi.
14 Ulinzi kwake na familia yake Msaidizi binafsi: Mpishi; Dobi; Mfanyakazi wa ndani; Mtunza bustani; Madereva wawili
15 Haki ya kutumia sehemu za watu mashuhuri (VIF lounge);
16 Gharama za mazishi yake na ya mwenza wake

Comments