𝐊𝐀𝐌𝐔𝐍𝐆𝐎 SASA RUKSA KUCHEZEA TAIFA STATS


Winga wa FC Dallas, Bernard Kamungo, ameripotiwa kupata passport ya Tanzania, hatua inayomuweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuendelea kuitumikia Taifa Stars.


Kamungo, ambaye alizaliwa Kasulu, Tanzania, tayari aliitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo ya Septemba dhidi ya Guinea-Bissau na Madagascar.


Hata hivyo, alikosa kushiriki kwenye mchezo dhidi ya Guinea-Bissau uliomalizika kwa Stars kupoteza 2-0, huku suala la nyaraka likiwa miongoni mwa changamoto zilizohusishwa na upatikanaji wake.


Sasa macho yote kwa Kamungo akiwa na Taifa Stars!

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MVUA ZA EL NINO ZINASABABISHWA NA NINI?.

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU