Posts
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE
Alhamdulillah ala kulli hal Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH Ndugu zangu wanaTanga Mjini, nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025) Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu. Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana Nitaienzi na kuithamini imani hii daima. UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wen...
WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI
1. Ummy Mwalimu - Tanga. 2. Stanslaus Mabula - Nyamagana 3. Shaban Mrutu - Tabora Mjini 4. Malecela - Dodoma. 5. Luqman Merhab - Mufindi Kastazini 6. Kirumbe Ng' enda - Kigoma. 7. Alexander Mnyeti - Misungwi 8. Prof Edwinius Lyalya - Magu. 9. Robert Maboto - Bunda. 10. Fredrick Lowassa - Monduli. 11. Munde Tambwe - Sikonge
MTOKO MPYA WA YANGA HUU HAPA
KILUNBE NG'ENDA ATEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe (katikati) aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Shoka Khamis Juma (kushoto) katika tukio lililofanyika Agosti 14, 2025 Njedengwa jijini Dodoma. Akizungumza na vyombo vya habari baada ya kuchukua fomu, Mgombea pendekezwa wa Urais wa chama hicho, Mulumbe amesema kuwa chama chake kikishinda atahakikisha anafuta madeni yote wanayodaiwa wanafunzi na Bodi ya Mikopo, itakuwa elimu bure, afya bure na wateja wataunganishiwa umeme bure. Vyama vingine vilivyochukua fumu jana Agosti 13, 2025 ni; Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya (Urais) aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Masoud Abrahman Khatib na Cha...
CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-
"Miaka 12 iliyopita nilipata fursa ya kujifunza diplomasia na ustahimilivu kupitia aliyekuwa Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa [SUKI] Dr. AshaRose Migiro. Alinitaka muda wote kutenda kwa kuandaa maandiko na kuyasaili kisha ndipo nitende. Shule ile ilinikaa na kunifanya muda wote nikikutana naye hata baada ya kuhama ofisi moja na nyingine nimkumbuke kama mwalimu imara. Miaka imeenda na siku zikasonga mbele." "Leo ameaminiwa kushika nafasi ya juu ya utendaji ya CCM. Nafasi ambayo nami nilishaitumikia kabla ya mtangulizi wake. Hakika nimefurahi kuona Mwalimu akikabidhiwa darasa kufundisha. Kazi muhimu ni wanafunzi kubeba utayari. Karibu tena nyumban SG mpya." "Sisi tupo tayari kutumwa. Picha hii ni kumbukumbu ya mimi na SG mpya katika mkutano Mkuu uliopita." #KaziNaUtuTunasongaMbele #NaendeleaKujifunza
RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi akisalimiana na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuzungumza nao katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 20, 2025, kuhusu mafanikio ya mkoa huo katika miaka minne ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 20, 2025, kuhusu mafanikio ya mkoa huo katika miaka minne ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Rodney Kihongosi akitoa neno la kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kihongosi kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo. MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA MKOA WA ARUSHA Awali ya yote nichukue nafasi hii kumshuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema, kwa kutujalia kukutana hapa siku ya leo tukiwa wazima na afya njema, huku tu...
WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE
Watetezi wa majimbo yao walioanguka 1. Stela Manyanya (Nyasa) 2. Emmanuel Mwakasaka (Tabora Mjini) 3. Charles Kimei (Vunjo) 4. Deo Sanga (Makambako) 5. Antipas (Malinyi) 6. Nagindu Butondo (Kishapu) 7. Joseph Kakunda, (Skonge) 8. Ally Makoa (Kondoa Mjini) 9. Mwarami, 10. Amsabi Mrimi (Serengeti) 11. Benaya Kapinga (Mbinga) 12. Issa Chinguile (Nachingwea) 13. Doroth Kilave (Temeke) 14. Issa Mtemvu (Kibamba) 15. Hassan Mtenga (Mtwara Mjini), 16. Isack Francis Mtinga (Iramba Mashariki) 17. Innocent Bilakwate - Kyerwa 18. Assa Makanika (Kigoma Kaskazini) 19. Vita Kawawa (Namtumbo) 20. Jesca Msambatavangu (Iringa Mjini) 21. Anania Thadayo (Mwanga) 22. Atupele Mwakibete (Busekelo) 23. Joseph Ndaisaba (Ngara) 24. Cosato Chumi (Mafinga) 25. Joseph Kizito Mhagama (Madaba) 26. Maimuna Mtanda (Newala V) 27. Stanslaus Nyongo (Maswa Mashariki) 28. Marco John Sallu (Handeni Mjini) 29. Dkt. Daniel Pallangyo (Arumeru Mashariki) 31. Prof. Patrick Ndakidemi (Moshi Vijijini) 32. Exhaud K...
MZIZE HATOISAHAU SIKU YA LEO. Siku moja tu imebadili kila kitu na kumpa rekodi 3 za kutisha🔥🔥🔥 🔰...Achilia mbali rekodi ya kuivusha Tanzania kwenda robo fainali ya michuano ya #chan2024, achana na rekodi ya kubeba tuzo ya Man Of The Match leo,,, Hizi hapa rekodi 3 za kutisha za Clement Mzize mpaka sasa.... ✅TOP SCORER Mpaka sasa ukienda kwenye orodha ya wafungaji mabao kwenye michuano ya CHAN 2024, utalikuta jina la Mzize pale juu akiwa na mabao mawili sawa na Austin Odhiambo wa Kenya🇰🇪, ila huyu yeye ana bao moja la penati hivyo Mzize ni namba☝️ ✅MCHEZAJI WA KWANZA KUFUNGA MABAO MAWILI KWENYE MECHI MOJA. Yeees! Hakuna na hakuna tena mchezaji mwingine yeyote aliyebahatika kufunga mabao mawili kwenye mchezo mmoja wa michuano hii ya CHAN 2024. Ni Mzize pekee ✅MCHEZAJI PEKEE ALIYEFUNGA MABAO MAWILI NDANI YA MUDA MFUPI ZAIDI. Mzize leo amefunga mabao yake mawili ndani ya dakika 7 tu, akifunga bao la kwanza mnamo dakika ya 13 ya mchezo kisha akarudia kufanya hivyo dakika ya 20. H...