Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa awamu ya tatu ya jengo la Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Said Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Moi, Mariam Willmore. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
JK akikaribishwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid
Wanahabari wakiwa kazini
JK akihutubia wakati wa hafla hiyo
JK akiangalia mfano wa majengo yatakayojengwa eneo hilo
Mkurugenzi Mkuu wa MOI, Lawrence Museru akimpatia maelezo Rais Jakaya Kikwete

Comments