Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Elius Mwakalinga (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mpango maalumu wa ujenzi wa nyumba 10,000 za kuwauzia watumishi wa Serikali nchini. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Zamaradi Kawawa. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Wanahabari wakiwa kazini
Mwandishi wa Habari wa Channel Ten TV, Mbwana Dachi akiwa makini na kazi yake.
Meneja Mradi Maalum, Edwin Mnunduma, akifafanua jambo hasa kuhusu mpango wa ujenzi wa nyumba 10,000 nchini.

Comments