MKUU WA MKOA WA PWANI MWANTUMU MAHIZA AZINDUA ZOEZI LA KUTOA HUDUMA ZA TIBA KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA KWA WANACHAMA WA NHIF NA JAMII MKOA WA PWANI.

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani  Mwantumu Mahiza akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo  ,Mastidia Rutaihwa baada ya kumkabidhi moja ya boksi la dawa na vifa vilivyotolewa na  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) wakati wa Uzinduzi rasmi  wa Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa NHIF   katika jamii ya Mkoa wa Pwani  uzinduzi huo ulizihusisha  wilaya zote tata za Rufiji, Mafia na  Bagamoyo.Katikati anaye shuhudia ni Mjumbe wa  Bodi ya NHIF Charles Kajege.
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwatumu Mahiza akiteta jambo na Madaktari Bingwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  baada ya kuzindua zoezi la kutoa  Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa mfuko wa NHIF. Uzinduzi huo ulifanyika katika Wilaya ya Bagamoyo  kwa niaba ya wilaya za Rufia  na Mafia .
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwatumu Mahiza akiteta jambo na Madaktari Bingwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  baada ya kuzindua zoezi la kutoa  Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa mfuko wa NHIF. Uzinduzi huo ulifanyika katika Wilaya ya Bagamoyo  kwa niaba ya wilaya za Rufia  na Mafia .
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akihutubia wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo wakati wa Uzinduzi rasmi wa zoezi la kutoa  Huduma za Tiba  Kutoka kwa Madaktari Bingwa  kwa Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa Jamii ya Mkoa wa Pwani, wa pili kutoka kushoto ni mjumbe wa Bodi ya NHIF Charles Kajege,Mkurugenzi Rasmaili Watu na Utawala  Beatus Chijumba na Meneja  Mkuu wa NHIF mkoa wa Pwani Andrew Mwilunga.

 Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Charles Kajege  akimkabidhi Mkuu wa Mkoa  wa Pwani Mwantumu Mahiza moja ya boksi lenye vifaa na Dawa  wakati wa Uzinduzi rasmi wa zoezi  la  Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa wa NHIF, kwa wanachama  wa mfuko  huo na jamii ya Mkoa wa Pwani .Uzinduzi huo ulifanyika  katikaWilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya wilaya za Mafia na Rufiji.
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Rasmali Watu  na Utawala wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Beatus Chijumba  baada ya kuzindua Zoezi la Kutoa Huduma za Tiba  kutoka kwa Madaktari Bingwa  kwa wanachama wa NHIF na Jamii ya mkoa wa Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika katika Wilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya Wilaya ya Rufiji na Mafia.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE