Pacome Zouzoua alizaliwa tar 30 April 1997 nchini Ivory Coast ktk kitongoji cha Port.
Hadi sasa ana umri wa miaka 26, ni kiungo wa kati mwenye uwezo wa kipekee anayetumia zaidi mguu wa kulia ktk kazi yake ya mpira.
Ni mchezaji mkakamavu mwenye wepesi miguuni anapokuwana mpira, hujituma sana awapo uwanjani na inavyosemekana ni tofauti sana na awapo ktk mazoezi ya kujiandaa na mechi, lakini siku za mechi kila mara amekuwa moto zaidi nakuwa mkombozi kwa timu kwa kuinasua kimatokeo.
Nitaendelea kumpatia maua yake siku zote atakazokuwa ndani ya Young African Sports Club.
Comments