Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Jimbo la Lindi Salum Khalfani Bar'wani mara baada ya kujiunga rasmi na CCM katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama hicho, mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Jimbo la Lindi Ndugu Salum Khalfani Bar'wani akizungumza na wananchi mara baada ya kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.
Comments