𝗩𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗔𝗠𝗨𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗬𝗔𝗦𝗜𝗬𝗢𝗙𝗔𝗔 WATIMKIA 𝗖𝗖𝗠 - 𝗞𝗘𝗡𝗔𝗡𝗜


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi, amesema kutokana na kazi kubwa ya kuleta maendeleo iliyofanywa na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 imepelekea watu wengi kutoka vyama vya upinzani kuamua kufanya maamuzi sahihi ya kuachana na vyama hivyo na kujiunga na CCM.

Katika kuthibitisho hilo, ndiyo maana hivi sasa kwenye mikutano kadhaa ya Dkt. Samia , kumekuwa na ukaribisho wa wanachama hao kujiunga CCM, na hapa ni muendelezo wa jambo hilo kubwa muhimu na lenye kuendelea kuuthibitishia umma kuwa maendeleo endelevu yanapatikana CCM pekee.

🎥📸 Katibu wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) wilaya ya Bariadi, Bw. Gunini Masunga akikabidhiwa sare za Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kukaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro.

Bw. Masunga ameambatana na Viongozi wengine wa ngazi ya Kata, Matawi na Mashina wa BAVICHA kwa muundo wa chama chao, Pamoja na Viongozi wa wanawake wa chama hicho (BAWACHA) kwa ngazi ya Kata, Matawi na Mashina ambao jumla yao wote ni wanachama 35.

𝘽𝘼𝙑𝙄𝘾𝙃𝘼 𝙣𝙖 𝘽𝘼𝙒𝘼𝘾𝙃𝘼 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙬𝙖𝙢𝙚𝙞𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝘾𝘾𝙈 𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙣𝙪𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙫𝙞𝙢𝙗𝙚 𝙬𝙖𝙥𝙖𝙨𝙪𝙠𝙚 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙟𝙞𝙟𝙪𝙖 𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚𝙬𝙚 💚💛








 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA