Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya kikazi mkoani humo Oktoba 11, 20-14.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya kikazi Oktoba 11, 2014. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa. {Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa nyumba za wafanyakazi wa wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora, Oktoba 11,2014. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na Kulia ni Mkuu wa WIlaya ya Uyui, Lucy Mayenga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Tabora kabla ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui na kuwahutubia wananchi, Oktoba 11, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
aziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Lucy Mayenga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda (kulia) baada ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments