KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – ALPHAYO J. KIDATA AFANYA ZIARA MKOANI TANGA

      

unnamedKatibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani Tanga
unnamed1Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata katika picha ya pamoja, akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, Mipango na Watathimini baada ya kusikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi, hivi karibuni mkoani Tanga.
unnamed2Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akisikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi kutoka kwa Maafisa ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
unnamed3Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani Tanga unnamed4Mwananchi aliyepatiwa suluhu la tatizo la ardhi, akimshukuru Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata baada tu ya kumaliza Mkutano na Maafisa ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
unnamed5Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata hivi karibuni, akifuatilia historia ya eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga unnamed6Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, hivi karibuni walipotembelea na kusikiliza tatizo la eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga
unnamed7Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata, hivi karibuni akisikiliza tatizo la eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

JIONEE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

CHANGAMKIA OFA YA KILIMO CHA PILIPILI KICHAA UPATE FAIDA SH. MIL. 50

NEWS ALERT: TAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014 HAPA!

REKODI YA SIMBA NA YANGA TANGU MWAKA 2010

KAMBI YA MAFUNZO ELEKEZI KWA VIONGOZI 120 WA TGGA YAZINDULIWA KILIMANJARO+video